Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
- Thread starter
-
- #21
Hata kama tunawasaga, haki yao tuwape... Nina washikaji zangu nane wanafanya kazi pale kama waandishi, wote kwa pamoja @ take home yao ni 510,000 (Lakini tano na elfu kumi). Na huwa tunaoneshana Salary Slip kila nikija likizo, lakini hawana marupurupu mengine Period.
Kamanda Fidel
Mgaya anataka kima cha chini 315,000 mkuu..hahaha
Hata kama tunawasaga, haki yao tuwape... Nina washikaji zangu nane wanafanya kazi pale kama waandishi, wote kwa pamoja @ take home yao ni 510,000 (Lakini tano na elfu kumi). Na huwa tunaoneshana Salary Slip kila nikija likizo, lakini hawana marupurupu mengine Period.
Mkuu kama umepotea thread vile, hakuna mtu aliteongelea kipimo cha maendeleo, rudi kwenye mada mkuu.
Hata kama tunawasaga, haki yao tuwape... Nina washikaji zangu nane wanafanya kazi pale kama waandishi, wote kwa pamoja @ take home yao ni 510,000 (Lakini tano na elfu kumi). Na huwa tunaoneshana Salary Slip kila nikija likizo, lakini hawana marupurupu mengine Period.
ndio mnavyodanganyana mkikutana kwenye vikao vya bia? Mshahara pale hauzidi laki tatu. Wajanja wanatumia zaidi matamasha kuongeza kipato. muulize masoud kipanya alipotaka aongezwe mshahara aliambiwaje? Acheni kudanganyana hapa jamvini.
ww usiongopeNdio mnavyodanganyana mkikutana kwenye vikao vya bia? mshahara pale hauzidi laki tatu. wajanja wanatumia zaidi matamasha kuongeza kipato. muulize masoud kipanya alipotaka aongezwe mshahara aliambiwaje? Acheni kudanganyana hapa jamvini.
Wakuu heshima mbele,
Ningependa kujua mishahara ya wafanyakazi wa Clouds Radio na Tv tafadhari, hususani watangazaji.