Mishahara Clouds Radio na Tv

Siku zote mshahara wa mtu ni siri kati yake na mwaajiri wake;ila kama kuna makubaliano ya wao kuamua kuweka hadharani ni sawa.Hivyo basi,si lazima mtu kusema kuhusu mshahara wake hadharani hata mwaajiri wake pia hapaswi kufanya hivyo.
 
wana JF, what is the issues here, take home yao au kazi yao kama watangazaji?

Maana Police walioua watu huko North mara wanalipwa chini ya 200,000!
 
Dereva wa OKADA anapata zaidi ya 30,000 kwa siku, inategemea mkao wa vichwa kwa siku hiyo!
 
Maimai heshima yako.

Hawawezi kufanya kazi bure, lazima wanabills za kulipa, rent, mafuta ya gari na pesa ya kujirusha.

pesa ya kujirusha? we huwajui wana mizinga mbaya hasa hasa wale vijana wanapenda offer za bia mbaya na wanakula za masharobaro ambao na wao hujipendekeza hebu ongea na wasanii wakupe story zako, mfano mzuri waulize N2N wana habari zao
Pukudu@ Ilkiding'a, Arusha
 
Nafikiri ni INFERIORITY COMPLEX waliyonayo hata waajiri wenyewe, pia na wabongo wenyewe.
 
Reactions: 3D.
ITV na TBC kuna wazee wabishi hao hauwaelezi kitu
 
Reactions: 3D.
Uhuru wa mawazo ni mzuri, ila kwangu mimi unapojadili mshahara wa mtu bila kuwa na lengo la kumsaidia yaani just to know. To me someone's salary is too personal to be discussed at public forums.
 
Hawana mishahara ya uhakika. Ndio maana kutwa ni ma-deal! Kila mtu kapewa ruksa ya kupanga deal yake na KULA kazini kwake. Unabisha? Mwuliza Gerald Hando atakuelezeni.

Hiiii hiii hiii hiii ndiyo Klaaaaaus Efuuu Emuuuu!

Redio ya Wafuuuuuuuu!
 
Kumbe Gerlad Hando ni faraa hivyo
 
Kuwa tu mtangazaji wa clouds hata ukilipwa mshahara mdogo unaweza kujiongeza ukafnya ishu zako kupitia hyo title pia unaweza fanya ishu nyingi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…