Mishahara duni ya walimu ni nguzo kuu ya kushuka kwa elimu nchini

masanzaone

Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
6
Reaction score
1
kwa haraka ukijaribu kuwatizama walimu utangundua kuwa hawana utayari na kufanya kazi ya kuwafundisha watoto kwa moyo na kwa uzalendo.cha kushangaza walimu wamefikia hatua ya kuweka wazi juu ya nini kinachowafanya mpaka wafikie hatua hiyo.ukichukua walimu mia moja karibia wote wanatoa jibu la kufanana yaani masilahi duni.lakini ni ukweli uliowazi kuwa walimu mishahara wanayopewa ni duni na ilistahili kuitwa posho wala si mishahara kwani haiendani na gharama za maisha kwa sasa.kwa mfano shule nyingi kwa sasa hazina nyumba na hivyo mwalimu atakiwa kwenda kutafuta nyumba za kupanga mbali na mazingira ya kufanyia kazi.lakini mshahara wa mwalimu hauna allowance ya nyumba au usafiri. ni mshahara huohuo mwalimu anatumia kulipa myumba pamoja na usafiri kwenda mahali pa kufanyia kazi.
hali hii inamufanya mwalimu aishi maisha ya shida na hivyo kumupunguzia ari ya kufanya kazi na kuanza kuwanza ni namna ngani ya kuyakabili maisha.cha kushangaza wakati mwingine mwalimu analazimika kupanga nyumba sehemu moja na wanafunzi anaowafundisha.hali hii inamudhalilisha mwalimu mbele ya jamii na wanafunzi.cha kustaabisha serikali inajifanya kutoelewa kabisa kuwa ni nini tatizo sugu linalosababisha kushuka kwa elimu nchini na kuanza kuunda kamati kutafuta mchawi.bila kumujali mwalimu tutengemee kiama kwa kizazi kijacho.tunahimiza uwekezaji na je wataalamu watoka wapi?.slavery will not end.
 
wako bize na nyuki.akili finyu.sijui nchi zilizoendelea wamefika pale kwa kufuga nyuki.
 
2+4=24, mwanzo mwsho, mpk kieleweke na hiyo mishahr wakiongeza mwkan tutajua ccm wanafanya campaign, Yan walimu wana hasira na hili liserakalii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…