Mishahara kupanda kwa 50%

Mdau Makin

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
767
Reaction score
207
'"Mishahara ya watumishi juu'"
Hatimaye watumishi wa umma na
sector binafsi wakumbukwa.
Mishahara mipya kwa watumishi wa
serikali na sekta binafsi yatangazwa rasmi, ni nyongeza ya asilimia 50
kuanzia September mosi mwaka huu.
Wafanyakazi wametakiwa kuendelea
kuchapa kazi kwa bidii zote neema
ndo kwanza imewashukia.
*NB: Ifahamike vema kuwa habari hii ni kule
nchini Mexico,Tanzania tuendelee
kusugua goti kwa maombi zaidi...........!!!
 
source: mpumbavvu mmoja hivi
 
Sasa Mexico na TZ wapi wapi au nawe ni **************** usirudie tena
 
Jamani vipi jamaa hawajatoa salary mpaka leo?hali ngumu sana aisee,nifahamisheni sina huduma ya mobile
 
Jamani vipi jamaa hawajatoa salary mpaka leo?hali ngumu sana aisee,nifahamisheni sina huduma ya mobile
Unaishi na mshahara tuu?Utakufa wewe,kama ni mwl uza ubuyu na karanga au fundisha tuition,kama ni nesi/dr fungua duka la dawa na wale wengine tafuta kinachoendana na taaluma yako,kwasasa MALAIKA haeleweki
 
Shenziii!, nilitaka nianze kuandika barua za kuomba kazi serikalini kwa spidi kali. Kumbe ni kule kwa akina wabunifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…