Mishahara marais wa Afrika: Huu wa ugonjwa wa akili!

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,522
Reaction score
1,045
Top 10 African presidents by earnings (salaries)
Paul Biya, Cameroon
5,251,048.9
King Mohammed, Morocco
4,132,000
Jacob Zuma, South Africa
2,066,000
Yoweri Museveni, uganda
1,549,500
Abdel Aziz Bouteflika, Algeria
1,446,200
Uhuru Kenyatta, Kenya
1,446,200
Teodoro Obiang, Equitorial Guinea
1,291,250
Robert Mugabe, Zimbabwe
1,239,600
Hage Geingob, Namibia
1,119,048.9
Ikililou Dhoinine, Comoros

he highest and lowest paid African presidents
SATURDAY, OCTOBER 7, 2017 16:36
uhuru+kenyatta.jpg

PRESIDENT UHURU KENYATTA EARNS SH1.4 MILLION WHILE HIS DEPUTY WILLIAM RUTO IS ENTITLED TO BETWEEN SH1 MILLION AND SH1.4 MILLION MONTHLY. FILE PHOTO | NMG

The revelation by Tanzanian President John Magufuli that he earns only Sh400,000 a month has cast into the spotlight the salaries of heads of state across Africa and the eastern African region in particular.

In Africa, Mr Magufuli’s pay is less than a tenth of that of his Cameroonian counterpart and just about a quarter that of Kenya’s President Uhuru Kenyatta.

READ: What Magufuli earns as President

Mr Kenyatta earns Sh1.4 million while his deputy William Ruto is entitled to between Sh1 million and Sh1.4 million per month.

It means that even Kenya’s deputy president is better paid than most African presidents who do not receive even a million shillings monthly.

Na umaskini huu tulionayo mtu analipwa milioni moja na marurupu kando! Eti makamu wa rais kenya hele nyingi kuliko marais kadhaa africa. Ati huyu wa tanzania mia nne ni nyingi kwa uchumi wa kiafrica. The pay should be pegged on economic capability to pay not whims of individuals! mwananchi wa kawaida kipato ni dola moja, nawe unaliwa mara elfu 33,000 zaidi. huu ni ugonjwa unaoadhiri nchi maskini!!!
 
Kama kweli rais Magufuli analipwa 400,000 Kshs hapo binafsi amenikosha na anadhihirisha mzalendo wa kweli. Lakini naona Wabongo wanambishia kwenye mitandao, wengi wanasema aanike payslip yake, maana wanasiasa wanafahamika kwa matamko yasioendana na uhalisia.
 
Binadamu huwezi kumridhisha hata ufanye nini, kwani mishaara ya marais wengine wote wanakubali na hawaombi kuona pay slip lakini kwa Magufuli wanaomba kuona?, kwanza walisema wanataka rais atangaze mshaara wake hadharini, kinyume kabisa na sheria ya utumishi wa ume ambayo inasema mshaara ni siri kati ya muajiri na muajiriwa, lakini alikubali na ametaja mshaara wake, bado wanataka salary slip, kwani kama lengo ni kudanganya hawezi kutoa fake salary slip?, hawana hoja.
 
Ukiondoa ushabiki wako wa kila siku wa uchama nafikiri utaona hao Watanzania wanayo hoja, maana kama rais Kikwete alikua analipwa milioni 32, halafu mrithi wake rais Magufuli ashushe mshahara mara tatu hadi alipwe milioni tisa, hapo lazima wadadisi watataka kuthibitisha kama kweli ili wakimsifia wawe wanasifu kitu kilicho cha kweli.

Sio kawaida kwa rais kushusha mshahara wake mara tatu ya aliyemkuta. Kwa kifupi inawezekana hata analipwa hela kidogo ya mafao ya uzeeni ya marais waliomtangulia. Sasa kwa maana hiyo kwamba sio kawaida, inapelekea watu wengi kutaka kuthibitisha kama kweli. Nakumbuka rais Magufuli ipo siku nilisoma sehemu aliahidi kuweka payslip wazi.

Leo hii magazeti yote ya Kenya yanasifia hatua ya rais Magufuli kushusha mshahara wake kiasi hicho, Afrika yote inamjadili kila mtu amependezwa na hilo, hivyo ni bora kuiweka rasmi ionekane wazi isije kuwa sio kweli halafu isababishe aibu kubwa.
 
Kwanza ninakuhakikishia mimi sina ushabiki wa chama kwa sababu mimi sina chama, ila ninajenga hoja badala ya kuokoteza maneno mitaani kama wewe unavyofanya, ni lini Kikwete alitangaza mshaara wake?, wewe unaishi kwa kuokoteza mambo mitaani ndiyo unayatetea, kama kweli mshaara wa Kikwete ulijulikana, mbona wabunge wa upinzani walikazania kujua mshaara wa Magufuli?, kwa sababu rais anayeingia madarakani huwa anapata malipo sawa na yule aliyemrithi hadi mabadiliko yatakapofanywa na vyombo husika, ukiacha Nyerere ambaye alitangaza mshaara wake hadhari, hajawahi tokea rais mwengine yeyote kutangaza hadhari isipokua Magufuli, hiyo unayosema kwamba Kikwete alikuwa akipata kiasi hicho cha fedha, ni taarifa za magazetini na hakuna ukweli wowote ule, kumbuka Tanzania ni nchi inayoegemea siasa za kijamaa, miongoni mwa kanuni za msingi za ujamaa ni kutokuwepo na tofauti kubwa katika mapato ya watumishi ya umma, haiwezikani hata siku moja serikali ikampa mtumishi wa umma kiasi hicho ulichotaja, mashirika ya umma yalikuwa yanafanya ujanja huo wa kupeana mishahara mikubwa kwa sababu kulikuwa na kipenge kinachowapa ruhusa kufanya hivyo, lakini sio serikalini
 
Unadhani akiitoa wabongo wataamini?
Watasema amei forge
 
Mbona nimesikia kuna mwadishi wa habari kenya analipwa 42m na TV ya citizen
 
Kwanza ninakuhakikishia mimi sina ushabiki wa chama kwa sababu mimi sina chama, ila ninajenga hoja badala ya kuokoteza maneno mitaani kama wewe unavyofanya, ni lini Kikwete alitangaza mshaara wake?, wewe unaishi kwa kuokoteza mambo mitaani ndiyo unayatetea, kama kweli mshaara wa Kikwete ulijulikana, mbona wabunge wa upinzani walikazania kujua mshaara wa Magufuli?, kwa sababu rais anayeingia madarakani huwa anapata malipo sawa na yule aliyemrithi hadi mabadiliko yatakapofanywa na vyombo husika, ukiacha Nyerere ambaye alitangaza mshaara wake hadhari, hajawahi tokea rais mwengine yeyote kutangaza hadhari isipokua Magufuli, hiyo unayosema kwamba Kikwete alikuwa akipata kiasi hicho cha fedha, ni taarifa za magazetini na hakuna ukweli wowote ule, kumbuka Tanzania ni nchi inayoegemea siasa za kijamaa, miongoni mwa kanuni za msingi za ujamaa ni kutokuwepo na tofauti kubwa katika mapato ya watumishi ya umma, haiwezikani hata siku moja serikali ikampa mtumishi wa umma kiasi hicho ulichotaja, mashirika ya umma yalikuwa yanafanya ujanja huo wa kupeana mishahara mikubwa kwa sababu kulikuwa na kipenge kinachowapa ruhusa kufanya hivyo, lakini sio serikalini
Kipindi Magufuli anaiingia madarakani kuna wakurugenzi wa mashirika ya umma walikua wanavuta mpaka over Tsh 30 m per month, ni kweli sheria zili waruhusu ila kwa upande wa serikali hali ni tofauti. Kwa kuliona hilo Magufuli alishusha na kuweka kima cha juu cha 15m!! Kama hutaki acha kazi. Sasa hvi hamna mtu anaekula zaidi ya 15m iwe serikalini au kwenye mashirika ya umma. Kwa hoja hiyo tu unaeza ukapata picha kama huo mshahara wa 9m ni waukweli au ni uongo.
 
Top 10 African presidents by earnings (salaries)
Paul Biya, Cameroon
5,251,048.9
King Mohammed, Morocco
4,132,000
Jacob Zuma, South Africa
2,066,000
Yoweri Museveni, uganda
1,549,500
Abdel Aziz Bouteflika, Algeria
1,446,200
Uhuru Kenyatta, Kenya
1,446,200
Teodoro Obiang, Equitorial Guinea
1,291,250
Robert Mugabe, Zimbabwe
1,239,600
Hage Geingob, Namibia
1,119,048.9
Ikililou Dhoinine, Comoros

he highest and lowest paid African presidents
SATURDAY, OCTOBER 7, 2017 16:36
uhuru+kenyatta.jpg

PRESIDENT UHURU KENYATTA EARNS SH1.4 MILLION WHILE HIS DEPUTY WILLIAM RUTO IS ENTITLED TO BETWEEN SH1 MILLION AND SH1.4 MILLION MONTHLY. FILE PHOTO | NMG

The revelation by Tanzanian President John Magufuli that he earns only Sh400,000 a month has cast into the spotlight the salaries of heads of state across Africa and the eastern African region in particular.

In Africa, Mr Magufuli’s pay is less than a tenth of that of his Cameroonian counterpart and just about a quarter that of Kenya’s President Uhuru Kenyatta.

READ: What Magufuli earns as President

Mr Kenyatta earns Sh1.4 million while his deputy William Ruto is entitled to between Sh1 million and Sh1.4 million per month.

It means that even Kenya’s deputy president is better paid than most African presidents who do not receive even a million shillings monthly.

Na umaskini huu tulionayo mtu analipwa milioni moja na marurupu kando! Eti makamu wa rais kenya hele nyingi kuliko marais kadhaa africa. Ati huyu wa tanzania mia nne ni nyingi kwa uchumi wa kiafrica. The pay should be pegged on economic capability to pay not whims of individuals! mwananchi wa kawaida kipato ni dola moja, nawe unaliwa mara elfu 33,000 zaidi. huu ni ugonjwa unaoadhiri nchi maskini!!!
Hiki ni mojawapo ya vipimo vikundi vya Rais bora kwani anajiamini na Ana furaha na Amani tele kuwatu ikiwa wananchi akiwa mtu wa kawaida. Refer Theory ya Maslow's "Hierarchy of Needs" wale walioendelea kisaikolojia hawafikilii maendeleo katika sense ya materially bali psychologically.
 
Top 10 African presidents by earnings (salaries)
Paul Biya, Cameroon
5,251,048.9
King Mohammed, Morocco
4,132,000
Jacob Zuma, South Africa
2,066,000
Yoweri Museveni, uganda
1,549,500
Abdel Aziz Bouteflika, Algeria
1,446,200
Uhuru Kenyatta, Kenya
1,446,200
Teodoro Obiang, Equitorial Guinea
1,291,250
Robert Mugabe, Zimbabwe
1,239,600
Hage Geingob, Namibia
1,119,048.9
Ikililou Dhoinine, Comoros

he highest and lowest paid African presidents
SATURDAY, OCTOBER 7, 2017 16:36
uhuru+kenyatta.jpg

PRESIDENT UHURU KENYATTA EARNS SH1.4 MILLION WHILE HIS DEPUTY WILLIAM RUTO IS ENTITLED TO BETWEEN SH1 MILLION AND SH1.4 MILLION MONTHLY. FILE PHOTO | NMG

The revelation by Tanzanian President John Magufuli that he earns only Sh400,000 a month has cast into the spotlight the salaries of heads of state across Africa and the eastern African region in particular.

In Africa, Mr Magufuli’s pay is less than a tenth of that of his Cameroonian counterpart and just about a quarter that of Kenya’s President Uhuru Kenyatta.

READ: What Magufuli earns as President

Mr Kenyatta earns Sh1.4 million while his deputy William Ruto is entitled to between Sh1 million and Sh1.4 million per month.

It means that even Kenya’s deputy president is better paid than most African presidents who do not receive even a million shillings monthly.

Na umaskini huu tulionayo mtu analipwa milioni moja na marurupu kando! Eti makamu wa rais kenya hele nyingi kuliko marais kadhaa africa. Ati huyu wa tanzania mia nne ni nyingi kwa uchumi wa kiafrica. The pay should be pegged on economic capability to pay not whims of individuals! mwananchi wa kawaida kipato ni dola moja, nawe unaliwa mara elfu 33,000 zaidi. huu ni ugonjwa unaoadhiri nchi maskini!!!
Raisi wetu juzi si kasema analipwa milioni tisa au JPM na Magufuli ni watu wawili tofauti
 
Kama kweli rais Magufuli analipwa 400,000 Kshs hapo binafsi amenikosha na anadhihirisha mzalendo wa kweli. Lakini naona Wabongo wanambishia kwenye mitandao, wengi wanasema aanike payslip yake, maana wanasiasa wanafahamika kwa matamko yasioendana na uhalisia.
Kwa Magufuli itakuwa ni uongo kabisa..
This is because Mshahara wa Kikwete ulikuwa around Tshs 32M (around 1.6M Kshs), sasa ni lini huu mshahara ulipunguzwa??
Maana lazima kama alipunguza mshahara wake angetangaza,asingekaa kimya.
 
Ni muongo wa kutupa huyo, siku chache tu alidanganya hadharani alipoingia madarakani kilo ya sukari ilikuwa ni shilingi 5,000 wakati ukweli ilikuwa 1,500.

Sijui kipi kinachomshinda kuanika salary slip yake hadharani ili kuwathibitishia walipa kodi kwamba mshahara wake 9.5 million.

Mtaumia sana mwaka huu, ila nchi ndiyo inasonga mbele, sasa kama mlikua mnajua anapokea kiasi gani, kwanini mlitaka ataje mshaara wake?, huyo anayesema Kikwete alikuwa akipokea 32M, aliambiwa na nani wakati Kikwete hajawahi kutamka hadharani yalikuwa maneno ya Zitto, sasa kama huamini, mwembie Zitto ataje mshaara wa Magufuli ili uweze kuamini.
 
Ukiondoa ushabiki wako wa kila siku wa uchama nafikiri utaona hao Watanzania wanayo hoja, maana kama rais Kikwete alikua analipwa milioni 32, halafu mrithi wake rais Magufuli ashushe mshahara mara tatu hadi alipwe milioni tisa, hapo lazima wadadisi watataka kuthibitisha kama kweli ili wakimsifia wawe wanasifu kitu kilicho cha kweli.

Sio kawaida kwa rais kushusha mshahara wake mara tatu ya aliyemkuta. Kwa kifupi inawezekana hata analipwa hela kidogo ya mafao ya uzeeni ya marais waliomtangulia. Sasa kwa maana hiyo kwamba sio kawaida, inapelekea watu wengi kutaka kuthibitisha kama kweli. Nakumbuka rais Magufuli ipo siku nilisoma sehemu aliahidi kuweka payslip wazi.

Leo hii magazeti yote ya Kenya yanasifia hatua ya rais Magufuli kushusha mshahara wake kiasi hicho, Afrika yote inamjadili kila mtu amependezwa na hilo, hivyo ni bora kuiweka rasmi ionekane wazi isije kuwa sio kweli halafu isababishe aibu kubwa.

Kama Raisi Magufuli anakataa Mialiko nje ya ili kuokoa fedha kwa nini adanganye mshahara wake? UN deligation yetu imekaa cheapest hotel na Raisi wetu hakwenda haya yote ni kuokoa fedha ambazo tunazihitaji hapa nyumbani!

Isitoshe Sheria ya Tanzania hairuhusu Raisi kuanika Mshahara wake hivyo kama ameweza kutekeleza yote kwa nini adanganye hili la Mshahara?
Raisi wa JMTZ kwanza hahitaji Mshahara mkubwa kwa maana anapata kila kitu na hata baada ya Uraisi mpaka nyumba anajengewa na kuhudumiwa na Serikali mpaka siku yake ya mwisho, sasa kwa nini adai Mshahara mkubwa?

Kitu ambacho sielewi ni kwa Raisi Uhuru Kenya, huyu jamaa ni Bilionea huo Mshahara wala sidhani hata kama anautumia, kwa nini hata hautoi sadaka tu kwa Hospitali au sehemu yoyote yenye mahitaji?
 
Sheria ipi hiyo ya Tanzania hairuhusu Rais kuanika/kutaja mshahara wake!??
So unataka kutuambia Magufuli amevunja sheria kutaja mshahara wake (tena wa uongo)?
 
Wengine bado unatuchanganya hiyo 400000 ni Tsh. au Ksh.?
 
Kwa Magufuli itakuwa ni uongo kabisa..
This is because Mshahara wa Kikwete ulikuwa around Tshs 32M (around 1.6M Kshs), sasa ni lini huu mshahara ulipunguzwa??
Maana lazima kama alipunguza mshahara wake angetangaza,asingekaa kimya.
Nimekusoma
 
Sheria ipi hiyo ya Tanzania hairuhusu Rais kuanika/kutaja mshahara wake!??
So unataka kutuambia Magufuli amevunja sheria kutaja mshahara wake (tena wa uongo)?
Kama wewe hujawahi kufanya kazi serikalini tafadhali usijidhalilishe kwenye mitandao, kanuni za utumishi ni kwamba mshahara ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa, kama ilivyo daktari na mgonjwa, hairuhusiwi mwajiri kutaja mshahara mwa mwajiriwa bila ruhusa yake, au daktari haruhusiwi kutaja ugonjwa wa mgonjwa bila ridhaa yake, ila kama mwajiri ataamua kutaja kwa ridhaa yake, lakini halazimiki kuutaja wala kushinikizwa kufanya hiivyo
 
Back
Top Bottom