Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Upo kama mwezi uliopita
 
Ongezeko lipo na limebase kwenye annual increment ya salary scale ya mtumishi husika.
 
Ongezeko lipo ila ni kiduchu sana. Ongezeko lenyewe ni lile la stahiki yaani increment.
 
Kuna mtumishi namdai na ameniaidi kunilipa salary ikitoka. Hivyo kama mshahara umetoka naombeni mnijulishe
 
Siyo unamdai wewe utakuwa mwalimu yani mnakera nyie kila mwisho wa mwezi mnaanza kujaza ujinga wenu humu,, hivi kujiongeza hakuwezi? Mpaka mtegemee hivyo vi laki?
Hivi siku serikali ikisema hailipi mtafanya nini?
Kuweni na tabiya ya kujiongeza na msitegemee salary tuu kuishi unatakiwa uwe na another source of income mbali na salary,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…