Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Hata msipoongezewa mtafanya nini? Wengi wa waajiriwa ni wanafiki na wasiojiamini ndio maana walishindwa kuchakua na kupata kula hadi gvt iwape salary.
Poor people forever
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]
 
Mimi KWANGU imeongezeka 328,123/, daraja la SIBITI
 
Tukumbuke kuwa Mh. Raisi alitoa ahadi hadharani akisema mwezi huu anaanza kurudisha utaaratibu wa nyongeza ya mwaka ya mshahara. Watumishi tarehe zetu ndio hizi zinayoyoma vp huko kwenu kuna lolote jipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…