GalileiGalileo
Senior Member
- Nov 19, 2011
- 165
- 225
Duuuuu kweli dont trust any bodyWale wa nmb mzigo ushaingia tayar.
Increment vile vile Kama nilivosema.
Yule jamaa alokua ananibishia humu akuje hapa haraka
Anipe msimbazi wangu nikanywe supu sahivi
Hahaaaa Achaaaaaa kupagawisha waruuuuu[emoji13] [emoji14] [emoji14]Wale wa nmb mzigo ushaingia tayar.
Increment vile vile Kama nilivosema.
Yule jamaa alokua ananibishia humu akuje hapa haraka
Anipe msimbazi wangu nikanywe supu sahivi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Huu uzi unapaaaaa balaaaa
Nmb ndo nn kwani.?Wale wa nmb mzigo ushaingia tayar.
Increment vile vile Kama nilivosema.
Yule jamaa alokua ananibishia humu akuje hapa haraka
Anipe msimbazi wangu nikanywe supu sahivi
ExactlyDuuuuu kweli dont trust any body
BankNmb ndo nn kwani.?
Check tena, network inasumbua sn sahvNimeangalia NMB mobile hivi punde hakuna
100% trueHahaaaa Achaaaaaa kupagawisha waruuuuu[emoji13] [emoji14] [emoji14]
Wale efu59 wa daraja ni full maumivuNgoja tusubir naamini RAISI hawez kudanganya naamini atatekeleza alochoahidi
Halaf atakuja waziri kufafanua ile kauli ya 14/10 kule zenjiWale efu59 wa daraja ni full maumivu
Empty set this month