McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Huu uzi mbona umedorora, mishahara imeshaingia nini?
Jiunge na crdb kwa line ya tigo utacheki salio bure hata ukitaka kuangalia mara mia within a day.Naona bado hakuna kitu mpaka sasa, nimechech NMBMobile NMB Mobile: Phone *150*66# yangu mpaka kale kasalio kangu kadogo kamemalizika. Duuuuu bado ni Bila Bila
Hakuna cha madaraja wala makaravatiMadaraja yaliyosimamishwa vp
Anamaanisha benki wanakata salio lake na sio salio LA simu yake.Jiunge na crdb kwa line ya tigo utacheki salio bure hata ukitaka kuangalia mara mia within a day.
Mimi ninapocheki salio sikatwi na benki wala mtandao wa simu.Anamaanisha benki wanakata salio lake na sio salio LA simu yake.
We tulia Maana unawapa faida bankNaona bado hakuna kitu mpaka sasa, nimechech NMBMobile NMB Mobile: Phone *150*66# yangu mpaka kale kasalio kangu kadogo kamemalizika. Duuuuu bado ni Bila Bila
Unajiungaje kiongozi ??Jiunge na crdb kwa line ya tigo utacheki salio bure hata ukitaka kuangalia mara mia within a day.
Mimi nimesahau jinsi nilivyojiunga maana ni miaka miwili sasa imepita. Ila ukiwa tu na crdb account utaletewa sms ambayo itakupa maelezo jinsi ya kujiunga. Utajiunga mwenyewe tu.Unajiungaje kiongozi ??
Duh? It is painful kwa watumishi!Ukiona imepita tar 22 na mshahara hakuna basi majority ya civil servants wanachanganyikiwa,[emoji23][emoji23][emoji23] kwa sasa wapo kimya maana hawaamini wanachokiona mpaka leo serikali imezila kutoa mshahara heeee heeee.
Hii Huduma kwa sasa mpka uende benkiMimi nimesahau jinsi nilivyojiunga maana ni miaka miwili sasa imepita. Ila ukiwa tu na crdb account utaletewa sms ambayo itakupa maelezo jinsi ya kujiunga. Utajiunga mwenyewe tu.
Kwa ile namba uliyoisubmit wakati unafungua CRDB account unapiga *150*03# kisha unafuata maelekezo.
Kama inazingua waone wahudumu wao benki.
CHADOMO wanakujaje hapo?Muda si mrefu CHADOMO wataumbuka vibaya.
Hujui uzushi wao ambao umeenea hata kwenye uzi huu?CHADOMO wanakujaje hapo?
Nani wakuaibika zaidi ya yule aliyewashika kooni watumishi kwa miaka ?