Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Nyongeza ya mishahara iendane na quality of service; huduma zenu nyingi ni mbovu sana.
 
hakuna ongezeko la mshahara isipokuwa kwa wale watakaopandishwa madaraja.!!
take my words. tarehe 23 sio mbali
 
Nyongeza ya mishahara iendane na quality of service; huduma zenu nyingi ni mbovu sana.
Quality of service iendane na resources. Mipango mizuri fedha hakuna mnataka watumishi watumie fedha zao?
 
hahaha bongo ni kazi sana aisee, watu wanawaza increment za mshahara na hamjapandishwa vyeo? hivi kuhusu arreas inakuaje? kama watu waliopanda vyeo mwaka jana inakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…