Mishahara mipya ya vigogo wa kenya baada ya uchaguzi mwaka huu hii hapa....

MissM4C

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
1,740
Reaction score
1,005
Mishahara ya vigogo Kenya yaanikwa peupee (Top National Leader) kwa Mwezi, Kuanza rasmi baada ya uchaguzi huu(2013)

1. RAISI Atapokea $20,000 [Tsh 30,000,000/=]

2. Makamu Wa Rais atapata $13,000 [Tsh 19,500,000/= au MIL 19.5]

3. Spika wa Bunge Atapata $12,000 [Tsh 18,000,000/= au MIL 18 kwa Mwezi.

4. JAJI MKUU Atapata $11,000 [Tshs 16,500,000/=au MIL 16.5 Kwa mwezi.

5. Katibu Baraza la Mawaziri atapata $9,600 [Tsh 4,800,000/= MIL 4.8]

5. Gavana wa Kenya atapata $9,500 [Tsh 1,450,000/= au Mil 1.45]

6. WABUNGE | Member of Parliament (MP) Watalipwa $6,352 = Tsh 10638000/= Au MIL 10.7]

Exchange Rate 1$ = roughly Tsh 1,500/=

Chanzo:- AFRICA FOCUS

Vipi anaejua Mishahara ya vigogo wa Tz anijuze hapa? Why inafichwa.

Nchi za kibepari kama Tz ziige mfano kwa Kenya.
 
Unaona sasa? Hayo ndo mambo bana.

Si ujinga ujinga wa hapa kwetu na habari za eti 'mshahara ni siri ya mtu'

Siri ya mtu wakati mshahara wako unalipwa kutokana na kodi za wananchi?

Ujinga mtupu.
 
Namba 5 ziko mbili na hesabu zako hazijakaa sawa, au ndo wale waliofanya hesabu option course shuleni?
 
Mishahara ya Bongo ni siri kali
 
Nna mashaka kidogo juu ya mshahara wa gavana. Hauwezi kuwa mdogo kiasi hicho jaribu kupitia takwimu zao na uje upya tena
 
Watu kama Raila,Uhuru,Ruto na Mudavadi iwapo watashinda ili kuoonyesha kuwa kweli wanawatumikia wananchi wasichukue hiyo mishahara kwani hizo pesa kwao ni kama tone la maji kwenye bahari kulingana na ukwasi (utajiri)walionao,ni wakati wa kumwiga David Beckham aliyesaini PSG ambaye amesema hatachukua mshahara wote,na mshahara wake uende kwa foundation ya kusaidia watoto(ingawa wengine wanamsema vibaya Beckham kuwa kwa kufanya hivyo anakosesha mapato)lakini sidhani hawa waungwana wakifanya hivyo itakuwa kukosesha mapato serikali ya Kenya
 
Katika bunge lililopita mishahara yao ilikuwa kubwa kuliko inayotajwa hapa na hatukuona huo ukarimu.
 
Mishahara ya vigogo Kenya yaanikwa peupee (Top National Leader) kwa Mwezi, Kuanza rasmi baada ya uchaguzi huu(2013)

1. RAISI Atapokea $20,000 [Tsh 30,000,000/=]

5. Katibu Baraza la Mawaziri atapata $9,600 [Tsh 4,800,000/= MIL 4.8]

5. Gavana wa Kenya atapata $9,500 [Tsh 1,450,000/= au Mil 1.45]

6. WABUNGE | Member of Parliament (MP) Watalipwa $6,352 = Tsh 10638000/= Au MIL 10.7]

Exchange Rate 1$ = roughly Tsh 1,500/=

.
Kweli Hesbu mbon haiendani kwani Wabunge wakilipwa kwa Dola wanachukua $ 6,352 chini ya Mshahara wa Gavana $9,500 wakati kwa hela za kenya ni zaidi Tsh 10638000/= kwa Tsh 1,450,000/=
 
Mishahara ya vigogo Kenya yaanikwa peupee (Top National Leader) kwa Mwezi, Kuanza rasmi baada ya uchaguzi huu(2013)

1. RAISI Atapokea $20,000 [Tsh 30,000,000/=]

2. Makamu Wa Rais atapata $13,000 [Tsh 19,500,000/= au MIL 19.5]

3. Spika wa Bunge Atapata $12,000 [Tsh 18,000,000/= au MIL 18 kwa Mwezi.

4. JAJI MKUU Atapata $11,000 [Tshs 16,500,000/=au MIL 16.5 Kwa mwezi.

5. Katibu Baraza la Mawaziri atapata $9,600 [Tsh 4,800,000/= MIL 4.8]

5. Gavana wa Kenya atapata $9,500 [Tsh 1,450,000/= au Mil 1.45]

6. WABUNGE | Member of Parliament (MP) Watalipwa $6,352 = Tsh 10638000/= Au MIL 10.7]

Exchange Rate 1$ = roughly Tsh 1,500/=

Chanzo:- AFRICA FOCUS

Vipi anaejua Mishahara ya vigogo wa Tz anijuze hapa? Why inafichwa.

Nchi za kibepari kama Tz ziige mfano kwa Kenya.
MissM4C hebu calculate vizuri umetumia unit ipi? Ksh or Tsh? Kwa Tanzania Exchange rate kwa USD ni 1,605.00 equals 1 USD sasa hesabu zako haziko sawa sawa? copy & paste???
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Rais na makamu wake
 
Walinyamazia kabisa hii ishu sasa wakati wamechaguliwa wanaweka mikakati kujaribu kuwaachisha kazi makamishna kwa kudharau hadhi yao na mishahara duni.
 
Namba 5 ziko mbili na hesabu zako hazijakaa sawa, au ndo wale waliofanya hesabu option course shuleni?

makosa ya kiuandishi tu mkuu.

[B said:
[B said:
5;5636993].

4. Katibu Baraza la Mawaziri atapata $9,600 [Tsh 4,800,000/= MIL 4.8]

5. Gavana wa Kenya atapata $9,500 [Tsh 1,450,000/= au Mil 1.45]

6. WABUNGE | Member of Parliament (MP) Watalipwa $6,352 = Tsh 10638000/= Au MIL 10.7]

Za wabunge ni dola 6,352 = 10.7tsh 4 na 5 zinavuka dola hizo, lakini umeweka tsh. kidogo sana.
 
This parliamentarians are just wolves, the 11 parliament houses an even bigger pack than the previous one
 
Back
Top Bottom