Mishahara mipya ya walimu

Nyamlanzi

Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
10
Reaction score
4
Wanajamii kwa ànaefaham mishahara iliyoongezwa juzi na serikali aniambie imeongezwa kwa asilimia ngapi?na mshahara wa mwalimu mwenye shahada.
 
Yani badala utufundishie wadogo zetu huko,umekaa kuwazia mshahara tu.kwanza ualimu ni wito,hata ukifanya kazi bure pasipo kulipwa chochote ni sawa tu.over
 
umedumaa kiakili

ualimu ni wito wewe, kama sivyo kwa mateso na manyanyaso wanayopata asingebaki mtu.

Anyway Rais wa kwanza alikuwa mwalimu ila alishindwa kuwawekea msingi mzuri walimu wenzake.
 
Umeona eee. Majitu mengine bwana

na hakuna rangi mtaacha ona hapa tanzania,mtakula vumbi la chaki mpaka yesu arudi.wenzenu wahasibu,wachumi na wanasheria wanakula maisha kwenye ofisi zenye full viyoyozi.na hawawazi masuala ya mshahara kama nyie maticha.
 
ww ni kilaza kama mulugo nyie ndo kazi yenu kuongea 2 wakati mchimba chumvi 2 kwanza nahic nyie ndo wale wa kuchora mazombi kwenye mitihani mtu kama ww huwezi kuwa great thinkers hata siku moja nenda kapige debe na wala usirudi tena humu ndani unless utambue kwamba bila elimu bora hakuna engeneer,lawyer.doctor and many others!
 
kuandika kwenyewe hujui,eti nawe unajiita mwalimu!!
 
Perry hili janga la matokeo ww halikugusi hata kidogo ama haujatafakari chanzo cha tatizo? akili yako unaitumia ku.. tu?
 
Mwenzeni anauliza swali lake mwenye jibu ampe maana kumpa majibu yasiyomsaidia si hekima. Mtandao wa JF mara nyingi umesaidia sana watu kupata majibu ya maswali yao.
 
na hakuna rangi mtaacha ona hapa tanzania,mtakula vumbi la chaki mpaka yesu arudi.wenzenu wahasibu,wachumi na wanasheria wanakula maisha kwenye ofisi zenye full viyoyozi.na hawawazi masuala ya mshahara kama nyie maticha.

Sote tutafunikwa na mchanga
 
Yani badala utufundishie wadogo zetu huko,umekaa kuwazia mshahara tu.kwanza ualimu ni wito,hata ukifanya kazi bure pasipo kulipwa chochote ni sawa tu.over

nakuonea huruma ww na wadogo zako na nakuahidi tegemea another zeros,kama unayoyawaza ndio hayo,pole sana Perry
 
Last edited by a moderator:
Wanajamii kwa ànaefaham mishahara iliyoongezwa juzi na serikali aniambie imeongezwa kwa asilimia ngapi?na mshahara wa mwalimu mwenye shahada.

mwalimu wa shahada kwa sasa anaanza na mshahara wa 532,000/=
 
na hakuna rangi mtaacha ona hapa tanzania,mtakula vumbi la chaki mpaka yesu arudi.wenzenu wahasibu,wachumi na wanasheria wanakula maisha kwenye ofisi zenye full viyoyozi.na hawawazi masuala ya mshahara kama nyie maticha.
We lazima ni Failure (kilaza)
 
Yani badala utufundishie wadogo zetu huko,umekaa kuwazia mshahara tu.kwanza ualimu ni wito,hata ukifanya kazi bure pasipo kulipwa chochote ni sawa tu.over

Mkuu taratibu, utasababishia watu ban!
 
vzur kama hujui jibu la swali la mtu ukakaa kimya kuliko kuropoka ropoka tu ili mradi tujue na wewe upo@perry
 
Yani badala utufundishie wadogo zetu huko,umekaa kuwazia mshahara tu.kwanza ualimu ni wito,hata ukifanya kazi bure pasipo kulipwa chochote ni sawa tu.over
Wewe mama hili la walimu achana nalo, heri yako wewe na biashara yako isiyo na mtaji, yote hayo ni sababu ya kuchezea elimu! Chezeeni walimu na wito wenu muvune ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…