Goodvision
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 858
- 467
na hakuna rangi mtaacha ona hapa tanzania,mtakula vumbi la chaki mpaka yesu arudi.wenzenu wahasibu,wachumi na wanasheria wanakula maisha kwenye ofisi zenye full viyoyozi.na hawawazi masuala ya mshahara kama nyie maticha.
Wanajamii kwa ànaefaham mishahara iliyoongezwa juzi na serikali aniambie imeongezwa kwa asilimia ngapi?na mshahara wa mwalimu mwenye shahada.
Yani badala utufundishie wadogo zetu huko,umekaa kuwazia mshahara tu.kwanza ualimu ni wito,hata ukifanya kazi bure pasipo kulipwa chochote ni sawa tu.over
Yani badala utufundishie wadogo zetu huko,umekaa kuwazia mshahara tu.kwanza ualimu ni wito,hata ukifanya kazi bure pasipo kulipwa chochote ni sawa tu.over
sio kilaza tu, Perry analikeji kwenye ubongo mwacheni.ni daktar wa wale ambao wameshikana kupona kwa madaktar wa wengineWe lazima ni Failure (kilaza)
Nakutukana kwa jina la shetani LUCIFER! Awe mshauri wako daima na vizazi vyako vijavyo.
hzo laana zikurudie wewe pamoja na wana ukoo wako wote.
Bunge nimeckia leo wakisema ni elfu 20 tu
Sasa elfu ishirini ni ndogo..?! piga calculation ya mwaka mzima ni ngapi...?!
hzo laana zikurudie wewe pamoja na wana ukoo wako wote.