Mishahara na posho Maktech

Mishahara na posho Maktech

ethicx

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
311
Reaction score
126
Habari wakuu, ni kweli Maktech ile kampuni ya telecom wafanyakaz wanalipwa mishahara na posho nzuri? Kama nikweli wanalipwa kiasi gani?
 
Ivi hao maktech makao makuu yao yapo wapi kwa hapa dsm
 
mbezi beach kituo cha goig
 
ndo kwenye lile ghorofa ambalo chini kuna benk ya crdb
 
Back
Top Bottom