Mishahara ya kampuni za ndege

Tena bora na ya serikali.over
 
Kuna agency ya ndege za serikali..hawa wanalipwa mishahara mizuri kuliko agency zote za serikali.
 
Ukitaka kuoga ziwani ama bwawani usimuulize chura kwa nini anatoka nje ama kwa nini mda wote yuko ndani ya maji wee ingia ujionee mwenyewe. Sisi tupo huko inategemea unataka sehemu gani.
 
kuna baadhi ya coy zinalipa vizuri vile vile inategemea na position na education
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…