Mishahara ya Ngorongoro Conservation Area huwa ni kiasi gani?

Green Beret

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
631
Reaction score
991
Habari wakuu. Tafadhali naomba msaada kujua mishahara ya ngorongoro conservation area?

Naomba kujua hasa NCAA 3, NCAA 4 na NCAA 5.

Na je hili jeshi usu huwa inachukua muda gani kuhitimu.

Asanteni sanašŸ™šŸ¾
 
Watu wanatafuta kazi hata ya laki hawapati wewe unauliza mshahara?[emoji3061][emoji56]
 
Sifahamu mishara ya huko bt ni moja ya taasisi ambayo watu wanazoa pesa wengine ni wale Tanapa office attendant wa kule yupo vizuri sana kipesa tofauti na taasis nyingine so kama kuna chance nenda tu huwezi juta.
 
S

SHukran sana boss. Ubarikiwe.
 
Hiyo mshahara na malupulypu hukosi wasitani wa take homr ya million 8 Tzsh..kwa watu wa ngazi za chini..ila kuanzia mamaeneger ni million 13 takehome kwa mwezi
 
Habari wakuu. Tafadhali naomba msaada kujua mishahara ya ngorongoro conservation area?

Naomba kujua hasa NCAA 3, NCAA 4 na NCAA 5.

Na je hili jeshi usu huwa inachukua muda gani kuhitimu.

Asanteni sana[emoji1488]
Nipe connection mkuu naitaka hiyo kazi
 
Hiyo mshahara na malupulypu hukosi wasitani wa take homr ya million 8 Tzsh..kwa watu wa ngazi za chini..ila kuanzia mamaeneger ni million 13 takehome kwa mwezi
Hiyo mshahara na malupulypu hukosi wasitani wa take homr ya million 8 Tzsh..kwa watu wa ngazi za chini..ila kuanzia mamaeneger ni million 13 takehome kwa mwezi
 
NCAA Wako vizuri sana. Ni taasisi ya serikali inayojitegemea so hata mishahara na posho wanajipangia wenyewe kupitia bodi yake tu afu wafanyakazi sio wengi kivile so shavu sana kule wanakula maisha tu. Bro angu ni Park Ranger anakula Mil 20 Karibu kwa mwezi pamoja na allowances , bima ya maisha, nyumba ya kuishi, usafiri na vyakula. Yeye anaishi huko huko porini mara moja moja yuko Town.
 
Hiyo mshahara na malupulypu hukosi wasitani wa take homr ya million 8 Tzsh..kwa watu wa ngazi za chini..ila kuanzia mamaeneger ni milion 13 takehome kwa mwezi

NCAA Wako vizuri sana. Ni taasisi ya serikali inayojitegemea so hata mishahara na posho wanajipangia wenyewe kupitia bodi yake tu afu wafanyakazi sio wengi kivile so shavu sana kule wanakula maisha tu. Bro angu ni Park Ranger anakula Mil 20 Karibu kwa mwezi pamoja na allowances , bima ya maisha, nyumba ya kuishi, usafiri na vyakula. Yeye anaishi huko huko porini mara moja moja yuko Town.
Asante sana mkuu ubarikiwe
 
office atte
Sifahamu mishara ya huko bt ni moja ya taasisi ambayo watu wanazoa pesa wengine ni wale Tanapa office attendant wa kule yupo vizuri sana kipesa tofauti na taasis nyingine so kama kuna chance nenda tu huwezi juta.
office attendant wa TANAPA anapata ngapi
 
NCAA Wako vizuri sana. Ni taasisi ya serikali inayojitegemea so hata mishahara na posho wanajipangia wenyewe kupitia bodi yake tu afu wafanyakazi sio wengi kivile so shavu sana kule wanakula maisha tu. Bro angu ni Park Ranger anakula Mil 20 Karibu kwa mwezi pamoja na allowances , bima ya maisha, nyumba ya kuishi, usafiri na vyakula. Yeye anaishi huko huko porini mara moja moja yuko Town.
Ndugu unaweza kunilink naye aisee nikampe hata pongezi kwa kazi ngumu?
 
NCAA Wako vizuri sana. Ni taasisi ya serikali inayojitegemea so hata mishahara na posho wanajipangia wenyewe kupitia bodi yake tu afu wafanyakazi sio wengi kivile so shavu sana kule wanakula maisha tu. Bro angu ni Park Ranger anakula Mil 20 Karibu kwa mwezi pamoja na allowances , bima ya maisha, nyumba ya kuishi, usafiri na vyakula. Yeye anaishi huko huko porini mara moja moja yuko Town.
Oyaaa niunganishe naye
 
Back
Top Bottom