Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
Ni kweli mkuu ila kuuliza si ujinga...maana ya kuuliza ni kujua tu mkuuWatu wanatafuta kazi hata ya laki hawapati wewe unauliza mshahara?[emoji3061][emoji56]
SHukran sana boss. Ubarikiwe.Sifahamu mishara ya huko bt ni moja ya taasisi ambayo watu wanazoa pesa wengine ni wale Tanapa office attendant wa kule yupo vizuri sana kipesa tofauti na taasis nyingine so kama kuna chance nenda tu huwezi juta.
Haha shukran mkuu naona mama anagawa buyu la asaliHuko kwa walamba asali, dereva tu wa Ngorongoro anamzidi afisa wa halmashauri kwa marupurupu
Nipe connection mkuu naitaka hiyo kaziHabari wakuu. Tafadhali naomba msaada kujua mishahara ya ngorongoro conservation area?
Naomba kujua hasa NCAA 3, NCAA 4 na NCAA 5.
Na je hili jeshi usu huwa inachukua muda gani kuhitimu.
Asanteni sana[emoji1488]
Hiyo mshahara na malupulypu hukosi wasitani wa take homr ya million 8 Tzsh..kwa watu wa ngazi za chini..ila kuanzia mamaeneger ni million 13 takehome kwa mwezi
Hiyo mshahara na malupulypu hukosi wasitani wa take homr ya million 8 Tzsh..kwa watu wa ngazi za chini..ila kuanzia mamaeneger ni million 13 takehome kwa mwezi
Hiyo mshahara na malupulypu hukosi wasitani wa take homr ya million 8 Tzsh..kwa watu wa ngazi za chini..ila kuanzia mamaeneger ni milion 13 takehome kwa mwezi
Asante sana mkuu ubarikiweNCAA Wako vizuri sana. Ni taasisi ya serikali inayojitegemea so hata mishahara na posho wanajipangia wenyewe kupitia bodi yake tu afu wafanyakazi sio wengi kivile so shavu sana kule wanakula maisha tu. Bro angu ni Park Ranger anakula Mil 20 Karibu kwa mwezi pamoja na allowances , bima ya maisha, nyumba ya kuishi, usafiri na vyakula. Yeye anaishi huko huko porini mara moja moja yuko Town.
office attendant wa TANAPA anapata ngapiSifahamu mishara ya huko bt ni moja ya taasisi ambayo watu wanazoa pesa wengine ni wale Tanapa office attendant wa kule yupo vizuri sana kipesa tofauti na taasis nyingine so kama kuna chance nenda tu huwezi juta.
Ndugu unaweza kunilink naye aisee nikampe hata pongezi kwa kazi ngumu?NCAA Wako vizuri sana. Ni taasisi ya serikali inayojitegemea so hata mishahara na posho wanajipangia wenyewe kupitia bodi yake tu afu wafanyakazi sio wengi kivile so shavu sana kule wanakula maisha tu. Bro angu ni Park Ranger anakula Mil 20 Karibu kwa mwezi pamoja na allowances , bima ya maisha, nyumba ya kuishi, usafiri na vyakula. Yeye anaishi huko huko porini mara moja moja yuko Town.
Oyaaa niunganishe nayeNCAA Wako vizuri sana. Ni taasisi ya serikali inayojitegemea so hata mishahara na posho wanajipangia wenyewe kupitia bodi yake tu afu wafanyakazi sio wengi kivile so shavu sana kule wanakula maisha tu. Bro angu ni Park Ranger anakula Mil 20 Karibu kwa mwezi pamoja na allowances , bima ya maisha, nyumba ya kuishi, usafiri na vyakula. Yeye anaishi huko huko porini mara moja moja yuko Town.