Perdiem katika UN zinaitwa Daily Subsistence Allowance (DSA).
Waajiriwa wote katika ngazi zote wakisafiri, rate ya DSA ni moja. Kwa lugha nyingine, hakuna cha mkubwa na mdogo mnapokuwa katika safari za kikazi. Dereva anapata DSA sawa na Resident Representative wakiwa safari moja. DSA rates za UN ni nzuri sana ukilinganisha na employers wengi hapa nchini. Pia zinategemeana na exchange ya US $ ya mwezi husika na hulipwa ktk local currency.