Mishahara ya supermarket

luckyperc

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
495
Reaction score
46
wadau kwa mwenye taarifa ya jinsi supermarket ya TSN wanavyolipa.
je ni kiasi gani kwa mwezi unapokea, wameniita kwenye interview.
wakuu nisaidieni.
 
Hawana fixed rate inategemea ww utakavyojikunja! ila ukitaja kidogo sana watahisi unaweza kwa mwizi na kazi utaiokosa!
 
Hawana fixed rate inategemea ww utakavyojikunja! ila ukitaja kidogo sana watahisi unaweza kwa mwizi na kazi utaiokosa!

Nitawatajia kuanzia kiasi gani sasa sababu sijui basic yao inakuwaje ili nami nijiangalie.
 
wadau kwa mwenye taarifa ya jinsi supermarket ya TSN wanavyolipa.
je ni kiasi gani kwa mwezi unapokea, wameniita nikafanye nao kazi.
wakuu nisaidieni.

Unataka kujua kiasi anacholipwa girlfriend wako? Acha utegemezi huo. We endelea kukata matumizi kwake kama kawa. Kama umeshindwa nenda katafute wauza vioski
 
Unataka kujua kiasi anacholipwa girlfriend wako? Acha utegemezi huo. We endelea kukata matumizi kwake kama kawa. Kama umeshindwa nenda katafute wauza vioski

hapo kwenye red ameingiaje, nimesema wameniita nikafanye nao kazi, MKUU ACHA KUFIKIRIA MAPENZI SANA!
 
Acha masihara ulivyofanya intavyu kwani ujazungumzia salary scale zao kwa job uliyoombaaa?? Salary inategemea na wewe mlivyobageni.....
 
Wakati wa interview kila kitu hukamilika ikiwa ni pamoja na malipo so wewe uliwatajia kiasi gani?
 
Acha masihara ulivyofanya intavyu kwani ujazungumzia salary scale zao kwa job uliyoombaaa?? Salary inategemea na wewe mlivyobageni.....
mkuu labda nimekosea nilivyosema wameniita nikafanye nao kazi, ni2meitwa kwenye interview kwanza.
 
wadau kwa mwenye taarifa ya jinsi supermarket ya TSN wanavyolipa.<br />
je ni kiasi gani kwa mwezi unapokea, wameniita nikafanye nao kazi.<br />
wakuu nisaidieni.
<br />
<br />
How much do you worth?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…