Mipale Steve
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 384
- 43
maigizo tu hayo! mi kuamin had tupate initials zetu,sote!
hivi waalimu ni wa msingi na sekondari tu?
hiv huu uzushi nani kaanzisha,siku walimu wakienda kwenye ATM wakakuta sivyo, tutegemee misiba mingi
hujajibu swali, nimeuliza waalimu ni wa msingi na sekondari tu? sijauliza habar ya mshaharamishahara hailipwi kwa kuangalia n mwl wa pr.,secondar au vyuo vya ualimu mishahara inalipwa kwa madaraja yaani tgts
hujajibu swali, nimeuliza waalimu ni wa msingi na sekondari tu? sijauliza habar ya mshahara
kwa hiyo we umezunguka halmashauri zote Tanzania mpaka ukasema source ni halmashauri zote.WARAKA NO M/D20/CL524....... YAH.MABADILIKO YA MUUNDO WA UTUMISHI NA MADARAJA KWA WAALIMU. ..................Waraka huu kuanza kutumika tar 1/7/2013 na sivinginevyo.hakikisha unatoa ushirikiano kwa wahakiki kutoka hazina kuu.muundo mpya utakua kama ifuatavyo certificate wataanza na Tgts D1=532450 Diploma Tgts E1=692741 Digree Tgts F1=852425 ,Source halimashauri zote TANZANIA,Ofisi ndogo za hazina kwenye kila halmashauri,na kwa makatibu tawala wote wa mikoa.
.waraka no m/d20/cl524....... Yah.mabadiliko ya muundo wa utumishi na madaraja kwa waalimu. ..................waraka huu kuanza kutumika tar 1/7/2013 na sivinginevyo.hakikisha unatoa ushirikiano kwa wahakiki kutoka hazina kuu.muundo mpya utakua kama ifuatavyo certificate wataanza na tgts d1=532450 diploma tgts e1=692741 digree tgts f1=852425 ,source halimashauri zote tanzania,ofisi ndogo za hazina kwenye kila halmashauri,na kwa makatibu tawala wote wa mikoa.
hujajibu swali, nimeuliza waalimu ni wa msingi na sekondari tu? sijauliza habar ya mshahara
tgts yaani mishahara ndio walimu and vice versa. kwa hiyo alichokujibu mkuu ni sahihi kwani kuna walimu wa diploma na digrii ambao wapo msingi hivyo walim wanaohusika hapa ni wote hadi ttc walioajiriwa na serikali tu.