Mishahara ya walimu....!

Richbest

Senior Member
Joined
May 23, 2011
Posts
101
Reaction score
24
Habar za jion wakuu?eti jamani mshahara wa mwez uliopita nilikatwa 65000 nikafuatilia walimu wenzangu wachache nao wakadai wamekatwa kama mimi! Tulivyofuatilia tukaambiwa ni toka hazina je nani anataarifa ya hii kitu atujuze?
 
Mwenye taarifa amjuze mdau hapa.... Isije ikawa wajanja wachache wanawafisadi kwa makato feki.
 
Habar za jion wakuu?eti jamani mshahara wa mwez uliopita nilikatwa 65000 nikafuatilia walimu wenzangu wachache nao wakadai wamekatwa kama mimi! Tulivyofuatilia tukaambiwa ni toka hazina je nani anataarifa ya hii kitu atujuze?

labda mlichangi miaka 50 ya Tanganyika
 
Si walimu tu. Mwezi Novemba wamelamba kama 50,000/- yangu! Salary slip nayo hawajanipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…