Mishahara ya walimu

Ndo mjute na kujutia, wakati wa uchaguzi baadhi yenu mnatumika sana na serikali ya KIJANI madhara yake ndo hayo walimu.

Poleni sana hata Songea municipal napo bado kimya kwa baadhi ya walimu wapya!!
 
walimu tusipifanya maamuzi magumu kuitoa ccm kwenye madaraka basi mishahara yetu haitapanda na maisha yetu yataendelea kuwa magumu!!

muoneni mpuuzi mwingine huyu aliyekaa kwenye utumishi zaidi ya miaka kumi hajafanya lolote la maana sasa ana msongo wa mawazo watu hapa wanajadili kipi kimetokea yeye anakuja na mada ccm siijui nini acha ujinga wewe ccm tasisi tu hata akijja nani bila mipango maisha yatakupiga tu.
 
Zimeenda kusaidia kumleta yule msanii anaemtafuta john from nigelia yemi alade'hii ndo tz
 
Wewe unashinda kujua uhusiani kati ya ccm na mishahara we vipi kwani chama kinachoendesha dora saivi ni kipi, mishahara ikiwa minono tutawapongeza ikuwa ivyo wao ndo wahuska...we ndo ovyo unaeshindwa kjua kama unga ndio matokea ya ugali
 
sijui ninini? kwani wilaya ya ngorongoro mishahara imeingia nusu na wengi wao hawajapata ingawa tayari wapo kwenye pay roll. wengi wanasema kwasababu imetoka hazina direct hebu wenye uelewa zaid watujuze

huu mchezo umejirudia tena huku wilaya ya buhigwe kuna wengine wamepata na wengine hawajapata sijui tatizo ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…