Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
diva ni msichana au mvulanaDiva the boss alihojiwa akasema analipia apartment tsh 2,000,000/- kwa mwezi, kwa mshahara gani?
Milioni 10 kwa mwezi au?!!!
Umemjibu Vyema Sana Namie Namuambia Kuwa Huwezi Shindana Na Mwanamke
BABA YAKE NI RAISI WA TFF JAMAL MALINZI SASA ATAKOSAJE KULIPA HELA HIYOInategemea anatangaza wapi lakini suala la diva kulipa hiyo pesa hata usishangae,
Analipiwa halipi yeye.
Hahahahahahahahahabahahahahhahahahahahahahhhabahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahabababahajajajanajahahabhahahahah yelewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiMjini njoo na kichwa chako tu, akili utazikuta.
Ohoooo!!!Hao wanaisha maisha artificial sana,hata wema sepetu alikua analipia 2m Kwa mwezi kiss tuu kila mwanaume ana jukumu lake pale.Siku akiugua asiweze kutoa papuchi utamuonea huruma.Mlimuona majuzi mwingine kachanganyikiwa akiwa global publication