Msingi kiunoDiva the boss alihojiwa akasema analipia apartment tsh 2,000,000/- kwa mwezi, kwa mshahara gani?
Milioni 10 kwa mwezi au?!!!
Hahahahahhahahahahahahahahahah u made my day mkuuMjini njoo na kichwa chako tu, akili utazikuta.
Million kumi hela ndogo wanalipwa zaidi ya hiyo
Isitoshe biashara kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakoraa..!! WaituUsisahau pia kuwa anatokea kabila letu liileeeeee.
hahahaha mi sijasema hivyo mkuu, siimooooWakoraa..!! Waitu
mshahara wake ni laki 8.5 take home...chanzo chake kikubwa cha kipato kwa hadhi ya kuwa tu mfanyakazi wa clouds ni kiuno. hawa mastaa wa kike huko chini pamechoka ukifunuliwa huwezi amini maana wanazungusha viuno si chini ya mara 40 kwa wiki...show times, mara serena, mara grand villa, mara bwana mwingine amuite masaki n.k.
Hela za TFF hizoDiva the boss alihojiwa akasema analipia apartment tsh 2,000,000/- kwa mwezi, kwa mshahara gani?
Milioni 10 kwa mwezi au?!!!
Jibu swali hili [emoji1370][emoji1370]