Mishahara

Ivon ng'umbi

Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
39
Reaction score
4
Naomba analysis ya mishahara ya walimu wa ngazi mbalimbali yaani cheti, diploma,degree n.k
 
nenda kwa mwajiri wao yaani Mkurugenzi wa halmashauri husika..
Kwakuwa ndani ya hao wenye #vyeti # pia kuna madaraja tofauti na wana mishahara tofauti.same applied to dipl
 
mi nlpataga certificate wakat naxubr ajira c nkapata mfadhil akanisomesha 5&6 private xul,xo a level nkaweka 1 CBG now niko stjohn 2nd year pharmacy dah cjui wanapewa kias gan kaka labda watakuja wahusika tuvute xubra
 
Degree 589,000/= ,diploma420,000/= ,certificate 296,000/=
 
mi nlpataga certificate wakat naxubr ajira c nkapata mfadhil akanisomesha 5&6 private xul,xo a level nkaweka 1 CBG now niko muhas 2nd year pharmacy dah cjui wanapewa kias gan kaka labda watakuja wahusika tuvute xubra

materials pls ndugu nihifadhie hapo muhas nakuja 1yr
 
mi nlpataga certificate wakat naxubr ajira c nkapata mfadhil akanisomesha 5&6 private xul,xo a level nkaweka 1 CBG now niko muhas 2nd year pharmacy dah cjui wanapewa kias gan kaka labda watakuja wahusika tuvute xubra

Watoto wa Mulugo mnajulikana kwa uandishi
 
Mkuu mimi najua wa kwangu tu ambao ni
TGTS C/1
basic ni 432500
take home 352645.
 
mi nlpataga certificate wakat naxubr ajira c nkapata mfadhil akanisomesha 5&6 private xul,xo a level nkaweka 1 CBG now niko muhas 2nd year pharmacy dah cjui wanapewa kias gan kaka labda watakuja wahusika tuvute xubra
unavyoandika Napata shida na hata hicho unachokisoma....................what is "naxubr" "c" "5&6" "xul" "xo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…