Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Huyu dogo yupo kama tahira,sijui haya nani kamuuliza...
Acha kuropoka,info zenyewe ni uongo mtupu
Unadhani mimi mjinga kama wewe
Huyu dogo yupo kama tahira,sijui haya nani kamuuliza...
Acha kuropoka,info zenyewe ni uongo mtupu
Si tahira bali anajalibu kuonesha tofauti za mishahara tuliyonayo, kwani ww kwako ni take home lkn kwa mwingine ni just posho.
Wewe hukumuelewa huyo pimbi....
Yeye nia yake ni kutafuta ligi,kwani unaweza kufananisha mshahara wa mwalimu na wa daktari,mhandisi,nk nk
Siku zote classes huwa zipo kwenye jamii yoyote (hakuna asiyefahamu hili),lakini huyu mtoto katuletea upuuzi wake ili mradi walimu tudharaulike
Polisi posho 200,000/= ,jWTZ posho 350,000/=
Onyesha wapi nimezungumzia mishahara wa wahandisi na madaktari
hebu acha uongo polic posho ni aslimia 40 ya mshahara narudia tena hebu acha kuropoka
hebu acha uongo polic posho ni aslimia 40 ya mshahara narudia tena hebu acha kuropoka
Wewe hukumuelewa huyo pimbi....
Yeye nia yake ni kutafuta ligi,kwani unaweza kufananisha mshahara wa mwalimu na wa <<daktari,mhandisi,>>nk nk
Siku zote classes huwa zipo kwenye jamii yoyote (hakuna asiyefahamu hili),lakini huyu mtoto katuletea upuuzi wake ili mradi walimu tudharaulike
hapo kwenye mabano (<< >>)
Unafuatilia mambo kweli wewe? ulimsikia john mnyika mwaka jana alivyokuwa anamwambia waziri wa home affairs?
Hebu tulia wewe sio unaongea kama chizi,werevu wanaongea vitu sensible sio kukurupuka na kushabikia waimba tarabu...
Sidhani kama poso ya ras copral wa pilisi ni sawa na RPC eti wote wapokee 200k,yani private wa jwtz apokee 350k na mwamunyange apokee hiyohiyo,panua ubongo wako ujifunze mengi...choko wewe
Mpaka hapa umekubali kwamba Mishahara ya education kwengine ni posho
mmm..usmind kvle bt hope msg delivered....
nshazoea wa kuponda wenzao ckushangai
nina degree mbili siwezi kubishana na form 4 div 0Unafuatilia mambo kweli wewe? ulimsikia john mnyika mwaka jana alivyokuwa anamwambia waziri wa home affairs?
historia???????mi nlpataga certificate wakat naxubr ajira c nkapata mfadhil akanisomesha 5&6 private xul,xo a level nkaweka 1 CBG now niko muhas 2nd year pharmacy dah cjui wanapewa kias gan kaka labda watakuja wahusika tuvute xubra