Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,812
- 1,373
Hebu tulia wewe sio unaongea kama chizi,werevu wanaongea vitu sensible sio kukurupuka na kushabikia waimba tarabu...
Sidhani kama poso ya ras copral wa pilisi ni sawa na RPC eti wote wapokee 200k,yani private wa jwtz apokee 350k na mwamunyange apokee hiyohiyo,panua ubongo wako ujifunze mengi...choko wewe
tatizo la MPIGAMSULI na pumbav mwenzake PERRY wanadhani mishahara ya walimu ipo static haibadiliki huo ndo upumbav yan hajui wapo walimu wanaopokea hadi milion 2 na upuuz yani mmebaki kushadadia stating salary wkt kila secta mishahara haitofautiani sana ni kidogo 2 iwe mwalimu nesi polisi, n.k mishahara haitofautiani hebu tafteni pay ral za secta zote mtaelewa nazungumzia nn. Au kwa kuwa huko kwingine kuna mianya ya rushwa that,s why mnawaona wanalipwa pesa nying kuliko WALIMU ongeeni kwa kufanya uchunguz
nina degree mbili siwezi kubishana na form 4 div 0
Degree mbilii haaaaa labda za kulina asali
hauta amini najua, tatizo lako unadhan wote humu ndani 2ko level sawa thats why unaropoka 2 usichokijua. ehee kulina asali ndo kufanyaje??
ila sikia kama unataka cv yangu nitafute pm. Ilaa najua unaumia kusikia watu 2na degree mbil wkt wewe ulitukana walimu matokeo yake ukavuna dv 0 pls sitaki ligi na wewe
Waambie wasiojua ukwelime sisemi ila graduate police salary,posho na mengineyo ni more than 1m per month na field force ndio dili zaidi karibuni
Degree mbilii haaaaa labda za kulina asali
Povu za nini wakuu?msaidieni mleta mada kwa mtindo huo mnamsaidiaje mwenye shida sasa?