MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 886
Habari za uhakika kutoka kwa Katibu wa CWT, Mwaka huu serikali sikivu imewaongezea Walimu mshahara kwa 8.41%, habari hizi ni uhakika 100%. maumivu kwa walimu kama kawa. Wewe kama Mwalimu pigia kwa mshahara wako ndo utakadiria ulichoongezewa. Hayo ya 24%, mara 26% mara sijui madaraja yamebadirishwa ni uongo na uzushi mtupu.