Mishara ya walimu mipya

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,146
Reaction score
886
Habari za uhakika kutoka kwa Katibu wa CWT, Mwaka huu serikali sikivu imewaongezea Walimu mshahara kwa 8.41%, habari hizi ni uhakika 100%. maumivu kwa walimu kama kawa. Wewe kama Mwalimu pigia kwa mshahara wako ndo utakadiria ulichoongezewa. Hayo ya 24%, mara 26% mara sijui madaraja yamebadirishwa ni uongo na uzushi mtupu.
 
Tumechoka na hizi habari .....kama vipi tusubiri tarehe "60"
 
"Kufanyakazi serikalini ni wito" nimeanza kuiamini hii kauli si kwa walimu tu sekta zote serikalini ni maumivu, wanaofaidi ni wale waliopo kwenye Govt agencies.
 
bora kuliko kuvizia magari yanayotoka Bukoba. Tunaishi hivyo hivyo!
 
Hapana habari za uhakika ni 5.2%

"To know the enemy is half the victory"
 
Nilianza kuwapenda walimu wa Kenya!
 
Kwenye
blue

unamaanisha sio sekta za serikali au?


Govt agencies are semi-autonomous, they have got their own budget and they have power to set their own salaries. Serikali haina malmaka nazo ya moja kwa moja siyo kama wale wa halmashauri/local govt au hata serikali kuu ambapo mpaka vikao vya wahuni wa dodoma vilidhie malipo yenu ndiyo mfikiriwe.
 

Thanks for the reply.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…