Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mishikaki ya kwa Mfojo huko Tabata imekuwa gumzo. Watu wanaisifia sana na Juzi Mfojo mwenyewe alikuwepo radioni Clouds na kasema anauza hadi kilo 200 kwa siku.
Jamani wenye ushuhuda na utamu wa mishikaki hiyo atuelekeze huyo Mfojo anapatikana Tabata ipi ili nasisi wengine tukaionje this weekend
Mishikaki ya kwa Mfojo

Hiyo ni kali aisee.

Nasikia ukiwa Mzima katika ulimwengu wa roho utaona Mengi.

1. Vijiko vya mama ntilie wengi ni mikono ya watu.

2. Mara nyingi kwenye madaladala kuna Mtu ana msukumasukuma Driver Kusababisha ajali.

3.

Isije ikawa kama yalee ya chapati za Magomeni ambazo watu walikuwa wakizifungia safari toka kila kona ya jiji...siri ikajafichuka, kumbe mti wa kusukumia chapati ulikuwa unafanyiwa kisichoelezeka na watu walivyobaini hilo jamaa akahama mji

Hahaaha,

Mimi mfojo simfahamu lakini namsikia tu na hapo Tabata anakouza mishkaki napafahamu.

Lakini kuna jambo ambalo nami siwezi kulidhibitisha. Huyu bwana kabla alikua mwenge (mori road) karibu na kwa Kakobe.

Wanaomfahhamu vizuri wanasema ana nguvu zisizo za kawaida (mimi zisifahamu) lakini pia hiyo mishikaki yake ina ualakini

sana kutokana na nguvu hizo alizonazo. Wapo waliomjaribu (waliotoa taarifa hizi) wakaona majani badala ya nyama nk.

Mimi nimepta taarifa hizi kwa vijana waliofanya nae kazi mwenge lakini ni za chuki am wivu siwezi kuzidhibisha unless kama kuna

mtu mwingine anaweza kutupa taarifa zaid.

Jambo moja ambalo walinistua nalo na naomba tulifanyie kazi. Huyo bwana hua ananunua nyama wapi na Kilo ngapi kila siku

tushirikiane kupata jibu
Hii mishikaki na chips mayai ndio inaletelea low battrey kwa wanaume wa Dar es salaamMishikaki ya kwa Mfojo huko Tabata imekuwa gumzo. Watu wanaisifia sana na Juzi Mfojo mwenyewe alikuwepo radioni Clouds na kasema anauza hadi kilo 200 kwa siku.