Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Kuweni makini na kachumbari hizi za kwenye mabaa zimejaa -minyoo, giardia, amoeba. Usafi kwao ni neno la kichina
Kuweni makini na kachumbari hizi za kwenye mabaa zimejaa -minyoo, giardia, amoeba. Usafi kwao ni neno la kichina
Ni kweli ni tabu*
ukalale usijetuonyesha na mengine jamani.
Pombe sio chai eti.
Unaogopa asije onyesha dyudyu,ata kalewa na hakika hawezi Fanya hivyo hahahukalale usijetuonyesha na mengine jamani.
Pombe sio chai eti.
Unaogopa asije onyesha dyudyu,ata kalewa na hakika hawezi Fanya hivyo hahah
Ahsante kwa taarifa...