mkulungwa02
Senior Member
- May 24, 2020
- 193
- 154
AISEE KUMBE?Ulishawahi kupita mahali ukala mishikaki halafu ukafika kwko hujisikii kuingia ndani una jiskia kushinda nje au kuzurula tu?
Ujue umekula mishikaki ya mbwa
Umewahi kula nini Mkuu?AISEE KUMBE?
SIKU MOJA HAHAHUmewahi kula nini Mkuu?
Hahahaha ila hakuna aliyekuona basi siri yako hiyoSIKU MOJA HAHAH
HahahahaMimi kuna day nimekula mishkaki ya samani basi niliishia kuogelea siku nzima sitamani kutoka mtoni.
Shughuli itakuwa ukila mishkaki ya mbuzi???Mimi kuna day nimekula mishkaki ya samani basi niliishia kuogelea siku nzima sitamani kutoka mtoni.
MISHKAKI YA MIAMIA HII HATARIHahahaha ila hakuna aliyekuona basi siri yako hiyo
Apo mwenyewe unannua mingi hatar,kumbe msalaMISHKAKI YA MIAMIA HII HATARI
Hahaha! Chalii hichi cha arusha OGMimi kuna day nimekula mishkaki ya samaki basi niliishia kuogelea siku nzima sitamani kutoka mtoni.
Tena mbichi!!!!Hahaha! Chalii hichi cha arusha OG
AhahahahaaMimi kuna day nimekula mishkaki ya samaki basi niliishia kuogelea siku nzima sitamani kutoka mtoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MISHKAKI YA MIAMIA HII HATARI