T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 856 Reaction score 145 Dec 10, 2011 #1 Niliwekewa drip takriban wiki sasa.Cha ajabu kuanzia nyuma ya mkono mpaka juu ya mkono mshipa wote umekuwa mgumu sanaaa,pia unauma.MSAADA Please!
Niliwekewa drip takriban wiki sasa.Cha ajabu kuanzia nyuma ya mkono mpaka juu ya mkono mshipa wote umekuwa mgumu sanaaa,pia unauma.MSAADA Please!
N Navoyne JF-Expert Member Joined Dec 12, 2010 Posts 874 Reaction score 373 Dec 10, 2011 #2 Waliokuwekea umewaambia hilo tatizo..............Pia jaribu kwenda hospitali kubwa kaonane na madaktari wazoefu.
Waliokuwekea umewaambia hilo tatizo..............Pia jaribu kwenda hospitali kubwa kaonane na madaktari wazoefu.
T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 856 Reaction score 145 Dec 10, 2011 Thread starter #3 Navoyne said: Waliokuwekea umewaambia hilo tatizo..............Pia jaribu kwenda hospitali kubwa kaonane na madaktari wazoefu. Click to expand... siku hiz yupo wa kumlalamikia?ni wakali wakal tu.Nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi!
Navoyne said: Waliokuwekea umewaambia hilo tatizo..............Pia jaribu kwenda hospitali kubwa kaonane na madaktari wazoefu. Click to expand... siku hiz yupo wa kumlalamikia?ni wakali wakal tu.Nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi!
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,368 Dec 10, 2011 #4 Mwone daktari
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Dec 11, 2011 #5 pole, nenda tena hosp.