M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,266 Reaction score 3,698 Oct 19, 2023 #1 Habar wakuu baba yangu anataka kwenda kufanyiwa operation ya kuzibua mishipa ya moyo JKCI..vip wakuu kwa uzoefu wenu kwa yoyote amabae amefanyiwa hii operation
Habar wakuu baba yangu anataka kwenda kufanyiwa operation ya kuzibua mishipa ya moyo JKCI..vip wakuu kwa uzoefu wenu kwa yoyote amabae amefanyiwa hii operation
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,266 Reaction score 3,698 Oct 19, 2023 Thread starter #2 Wakuu mmegoma kunipa msaada
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Oct 19, 2023 #3 Wako vizuri nenda usimcheleweshe father