Mishkaki ya paka...

jacobae

Member
Joined
Oct 29, 2007
Posts
68
Reaction score
1
Kuna jamaa amejinadi anauza mishkaki ya paka na kuiuza Tsh 50 ila yeye na familia yake hawatumii. Kwa siku anachinja hadi paka wanne!!! Je kwa kufanya hivyo amevunja sheria yoyote? Nisaidieni wangwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…