Gauni zuri sana. Porsha katokelezea kweli kweli
Gauni zuri sana. Porsha katokelezea kweli kweli
Hii gauni nilikua naitafuta hiii
T ake kama nakuona chini na heel yako afu unaswing kama twiga
T ake kama nakuona chini na heel yako afu unaswing kama twiga
Nilikuwa nawaza cha kuvaa sehemu fulani hivi, umenirahisishia kazi kama ifuatavyo tehHahah! 😀
Acha tu T ake, hiyo look imekuwa copied&pasted mpaka hizo accessories. [emoji125]
Nilikuwa nawaza cha kuvaa sehemu fulani hivi, umenirahisishia kazi kama ifuatavyo teh