Mishono kwa ajili ya harusi

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,156
Jamani naombeni design za mishono tofauti kama kumi kwa ajili ya wasichana wangu(miaka 19 mpaka 25).
Kwa ajili ya harusi na send-off wao ni special guests nataka wafunike
 
Huko mbele tunapoelelea mama mkwe atakuwa ni halili kwa matumizi ya mkwe
Jamani naombeni design za mishono tofauti kama kumi kwa ajili ya wasichana wangu(miaka 19 mpaka 25).
Kwa ajili ya harusi na send-off wao ni special guests nataka wafunike
 
Ni lini ili nikipata muda nitume ,nisije kutuma kumbe shughuli zilishafanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…