Niletee mshono wa kuvaa harusi. Ila gauni refu natak niwashtue maana wamezoea mabaibui 😀
Kuchangia tuu harusi za wenzio...kuolewa aaahhh 🤣🤣🤣🤣Niletee mshono wa kuvaa harusi. Ila gauni refu natak niwashtue maana wamezoea mabaibui 😀
🤣🤣🤣Ngoja waende wakirudi mm ndo naendaKuchangia tuu harusi za wenzio...kuolewa aaahhh 🤣🤣🤣🤣
Huu mshono, kuna mdada kashonaa, nguo imetoka vzuri, ila yeye haujampendezaa, huu unataka kdg mtu mwenye hips na guu la bia.