Sijui ndo hioHii screenshot ya pili, picha ya kwanza kabisa naomba nione tafadhali
Naona una mishono mingi mizuri ya kisasaSijui ndo hio
The back of the dress
Kumbe khanga pia huwa zinashoneka vizuri
Zinapendeza Ila upate zile khanga kubwa za Zanzibar.Kumbe khanga pia huwa zinashoneka vizuri
Tena zile ni nzito nzito hata quality yake ni nzuriZinapendeza Ila upate zile khanga kubwa za Zanzibar.