Mishumaa ya kufukuza mbu

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,441
Reaction score
8,408
Nimesikia kuwa kuna watu wanatengeneza mishumaa ambayo ina uwezo wa kufukuza mbu. Naomba mwenye taarifa zozote kuhusiana na suala hilo anijuze. Ningependa kuinunua ili nijaribu, je, inapatikana wapi?
 
umeshajua na adhari zake pia kwa afya yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…