dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,172
- 3,082
Pamoja na mamlaka husika kutozuia mikusanyiko ya kiibada katika kipindi hiki cha hatari cha maambukizo ya ndani. Na pamoja na Ofisi ya Mufti mkuu kuelekeza ufanyaji wa Ibada na hasa upangaji wa mistar (safu) uwe si wakuganda kama sheria inavyotaka badala yake iwe mita moja baina ya mtu na mtu
Lakini viongozi wengi wa Msikiti wameona suluhisho kwa muda huu ni kuifunga Misikiti kuoisha hatari ya maambukiz kwa Waumini hivyo Misikit mingi mjini hapa imefungwa na hakutakua na ibada za swala za fardhi wala sala ya tarawehr pengine hata swala zaidi waumin wamwtakiwa kuswali majumbani na kuendelea kuchukua tahadhar juu ya gonjwa hili thakili kama vile uslamu unayoelekeza
# BAKI NYUMBANI
#SWALI NYUMBANI
# OSHA MIKONO
# EPUKA MIKUSANYIKO
#ZANZIBAR BILA CORONA INAWEZEKANA
Sent using Jamii Forums mobile app