Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upigaji tu wameshawaona majuha waliozama katika dini bila kufikiri! Chuma hla toka kwa majuhaSheikh huyu amekuwa akitumia mafuta ya upako na kuwanywesha watu wenye matatizo mbalimbali waliohudhuria swala msikitini.
View attachment 3127246
Kote ni hivyo , hulazimishwi na mtu.Kitaa kigumu, ustaadh kaona ajiongeze na yeye😄😄.
Uzuri wa uislam upo wazi kabisa. Ukikubali kunywesha mafuta ni upumbavu wako mwenyewe.
Sio mskitini sema mpigaji muislamu kaanza kujiongeza, kwa kutumia maji ya mzaituni, mskitini hawawezi kukanyaga atapigwa na waumini kabisa.Sheikh huyu amekuwa akitumia mafuta ya upako na kuwanywesha watu wenye matatizo mbalimbali waliohudhuria swala msikitini.
View attachment 3127246
cha kushangaa ni nini sheikh? Abrakadabra zimejaa kila dini kuwarubuni wenye shida na akili ndogoinnalilayhi wa innailayhi rajiuunnnnn, njaa hizi na ukosefu wa ilmu zinatupeleka pabaya sana .