Misimamo ya Ligi Kuu Bara, Championship, Ligi ya Zanzibar, Ligi ya Wanawake

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Hivi ndivyo misimamo ilivyo hadi kufikia leo Jumatano Machi 30, 2022 katika Ligi mbalimbali ambazo ni Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza 'Championiship', Ligi Kuu ya Zanzibar na Ligi Kuu ya Wanawake.





Chanzo: Mwanaspoti
 
DTB, IHEFU & KITAYOSE ni mchuano mkali sana.
 
Makolo, Azam na Namungo mchuano ni mkali kutafuta nafasi ya pili
 
Nauliza wadau kuwa Kuna taarifa niliona kwamba kocha msaidizi wa Simba queen amefukuzwa kwasababu ya kusema kwamba kiwango chao ni kibovu kwasababu baadhi ya wachezaji wanalipwa 50,000
Sasa mbona msimamo unaonesha Simba kashinda mechi zote? Au mi ndo sjaelewa
 
Wanaongoza sababu ya bahasha, sio tu elfu 50 wengine hawalipwi kabisa
 
Gwambina fc ndiyo basi tena! Ni wakati sasa kwa mmiliki kuiuza hii timu mapema pamoja na ule uwanja wake, kabla mambo hayaja haribika kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…