The Stranger
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 272
- 250
Daah..Hapa kweli inabidi nimtafute muuza matunda mtaani[emoji120]Ngoja waje, ila cha kukusadia tafuta wauza matunda ambao ni wa muda mrefu hata mtaani kwako , watakusaidia mkuu
[emoji120]Kila kanda ina msimu wake japo mara nyingi huwa ni wa kumi na mbili hadi wa pili kwa maembe na na saba nane tisa kwa machungwa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Thanks thanks..Parachichi ndio zibaanza mbeya na njombe.
Maembe nayo ndio yanaanza, yatafuatua mananasi Mbeya ba Njombe lupembe.
Machungwa ndio yanaisha huko tannga.
Tikiti lipo peak japi huwa haziishi sikoni kabisa.
Peas na Apple mwezi wa tatu Iringa na Njombe.
Ndizi za mbeya msimu wa baridi zinapungua sana sijajya moshi,bukoba moro na kigoma.
PamojaNgoja waje kukupa muongozo...
Bukoba ndizi zinakuwa nyingi sana haswa kuanzia mwezi wa tano mwishoni hadi wa tisa mwanzoni...japo haziishi kabisa mwaka mzima zipo.....but zinakuwa nyingi sana mwezi wa sita na sabaParachichi ndio zibaanza mbeya na njombe.
Maembe nayo ndio yanaanza, yatafuatua mananasi Mbeya ba Njombe lupembe.
Machungwa ndio yanaisha huko tannga.
Tikiti lipo peak japi huwa haziishi sikoni kabisa.
Peas na Apple mwezi wa tatu Iringa na Njombe.
Ndizi za mbeya msimu wa baridi zinapungua sana sijajya moshi,bukoba moro na kigoma.
Shukran sana.. nilikua silifaham hili.. nilijua msimu ni mmoja tu kwa nchi nzima kwa kila tundaKwa Tanzania matunda hayana msimu maalumu labda peas ambazo hulimwa kwa wing njombe na iringa matunda mengine hayo mikoa huwa inapishana kuna mingine inavuna mingine inasubir mikoa yenye kilimo cha matunda meng n Tanga, mbeya ,iringa, njombe, tabora, mtwara, bukoba hiii huwa inapishana