ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Mko bye bandugu nangai!!?wacha leo niwaelezee hii misingi ya kupata chochote kile kilicho chini ya jua,iwe ardhini au baharini...maana sasa hizi kokoro zimezidi kuwa pasua kichwa. Mtu mzima nataka kutoa supichi hapa.
Attention!
1_waweza pata chochote kwa njia ya urithi kikawa chako Mali yako.
2_waweza pata chochote kwa neema ya mwenye kukitoa,amejisikia kukupa wewe haijalishi kama mie nimeridhika au kununa,ndo ushachaguliwa umetunukiwa nataka au sitaki ni chako hicho.Tumia.
3_waweza pata chochote kwa kukihangaikia yaani jitihada zako zinakufikisha ulipo.
4_unaweza pata chochote kile kwa kuiba,/kudhulumu na hapo pia umetumia ubabe au ulozi au vyovyote vile..lakini ndo umepata.
Katika hali iwayo yote jua kuwa ulichonacho ndicho ulichostahili,shukuru kwa hicho...yanini sasa unaumiza kiiiiichwa ukiamini wewe ulistahili uwe vile na siyo hivi,uwe pale na siyo hapo....moyo ukijaa uchungu hutosogea abadan.
Anza kushukuru kwa kidogo ulichopewa ili Yehova Mungu aliye Bwana akiongeze.!!![emoji121][emoji121]tupunguzeni fitna.
Sent using Jamii Forums mobile app