MAKA Jr JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 267 Reaction score 209 Jul 20, 2022 #1 "Misingi iliyojengwa kwa mihemuko hupotea kama moshi angani. Watanzania tuanze kuwekeza kwenye misingi imara ambayo haitapotelea angani kama moshi."
"Misingi iliyojengwa kwa mihemuko hupotea kama moshi angani. Watanzania tuanze kuwekeza kwenye misingi imara ambayo haitapotelea angani kama moshi."
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Jul 20, 2022 #2 MAKA Jr said: "Misingi iliyojengwa kwa mihemuko hupotea kama moshi angani. Watanzania tuanze kuwekeza kwenye misingi imara ambayo haitapotelea angani kama moshi." Click to expand... Fafanua zaidi
MAKA Jr said: "Misingi iliyojengwa kwa mihemuko hupotea kama moshi angani. Watanzania tuanze kuwekeza kwenye misingi imara ambayo haitapotelea angani kama moshi." Click to expand... Fafanua zaidi
MAKA Jr JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 267 Reaction score 209 Jul 20, 2022 Thread starter #3 Mwachiluwi said: Fafanua zaidi Click to expand... Mifano ni mingi: Mmoja wapo ni mihemuko waliyokuwa nayo Watanzania baada ya Mhe. Rais Samia kuanza kazi wakisema hawezi, lakini sasa wameona anaweza.
Mwachiluwi said: Fafanua zaidi Click to expand... Mifano ni mingi: Mmoja wapo ni mihemuko waliyokuwa nayo Watanzania baada ya Mhe. Rais Samia kuanza kazi wakisema hawezi, lakini sasa wameona anaweza.