kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,995
- 2,572
Misingi mingine ya ndoa zetu ni migumu sana.
Pata simulizi hii toka Marekani.
PhupySmith na mkewe hawajawahi kuwa na mzozo ndani ya miaka 25 ya ndoa yao. Jambo hili likamfanya jirani yao mmoja kumuuliza PhupySmith amewezaje kuishi na mkewe muda huo wote bila kuzozana!
PhupySmith anaeleza:
[emoji117] Tulienda fungate Australia miaka 25 iliyopita,
Wakati mke wangu akiwa amempanda farasi,
Farasi aliruka na mke wangu akaanguka,
Aliamka, akampigapiga farasi kwa upole, akasema,
"hii ni mara yako ya kwanza",
Baada ya muda ikatokea tena,
Alimpigapiga tena na kusema,
"hii ni mara yako ya pili",
Farasi alifanya tena mara ya tatu,
Mke wangu alitoa silaha na kumuua yule farasi,
Nilishitushwa sana na kitendo kile nikamgombeza sana mke wangu,
- umechanganyikiwa?,
- una matatizo gani?,
- kwa nini umemuua farasi?,
Mke wangu aliniangalia, akatabasamu, kisha akasema,
"hii ni mara yako ya kwanza",
Tangu siku hiyo nikaushona mdomo wangu,
Hii ndiyo siri ya kuishi miaka yote hii bila kuzozana...! [emoji118]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]