Arch Barrel
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 577
- 1,314
Umemaliza mkuu...“Kulingana na idadi ya siku mlizopeleleza nchi, siku arobaini, mwaka mmoja kwa kila siku, mtachukua adhabu ya dhambi zenu miaka arobaini… mizigo yenu itanguka jangwani hapa.”
(Hesabu 14:34, na mstari 29–35)
Ina maana walitumia siku 40 na sio miaka 40.“Kulingana na idadi ya siku mlizopeleleza nchi, siku arobaini, mwaka mmoja kwa kila siku, mtachukua adhabu ya dhambi zenu miaka arobaini… mizigo yenu itanguka jangwani hapa.”
(Hesabu 14:34, na mstari 29–35)
Alianza nini mkuu?Ina maana walitumia siku 40 na sio miaka 40.
Sasa kama mwaka mmoja ulihesabika kama siku moja.
Yesu alianza akiwa na miaka mingapi?