Hivi wenye maduka ya misosi ya kibongo kupitia Bakhressa, kuna mayai ya kienyeji? Mimi haya mayai ya Sainsbury sijui Asda yanaharibu tu ulimi hamna ladha tumbo kuvimba. Mimi nataka mayai ya kienyeji, ukilipasua ile york inaonekana proper yellow. Je yapo?
iiiiiiiihi, Ng'hungurume, kinehe egeteh?!
naona umeanza kuhofia afya yako mapema; mayai ya kopo, nyanya za kopo, mchicha wa kopo, vitunguu vya kopo, dagaa wa kopo, maembe ya kopo, nanasi za kopo, n.k. 700 kutoka kwenye masupa maketi yenu huko. Pole sana, hayo mayai yasiyo jogoo sijui ubaya wake ila nina uhakika mayai ya kuku wa kienyeji ni bomba zaidi kwa miili yetu, sema huwa yana ka harufu fulani hivi (kama sea water hivi...!!!), sijui kama huwa unakashitukia,mimi huwa kanani put off sometimes....
BTW, je umesha kula mayai ya bata?... yana afya nzuri na ni makubwa zaidi, ila sina uhakika kama unaweza kuyapata huko ulaya... hapa bongo ni kibao sema watu hawajayashitukia tu, na production rate yake ni ya nguvu, si unawajua tena bata jinsi walivyo.... lol...
Anyway, kuna huyu kuku wa kienyeji wa jirani hapa nimempiga picha leo nadhani atakuriwadha kinamna kumwona anataga yai... !!
🙂, walau upate mawili matatu ya kufikirika!! lol
Nzoka, angoh shokagi kokaya mlye shinonu!!