Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 101
Hivi wenye maduka ya misosi ya kibongo kupitia Bakhressa, kuna mayai ya kienyeji? Mimi haya mayai ya Sainsbury sijui Asda yanaharibu tu ulimi hamna ladha tumbo kuvimba. Mimi nataka mayai ya kienyeji, ukilipasua ile york inaonekana proper yellow. Je yapo?

.....Nzoka, je unawajua jina lake hao?... wanaitwa 'kuchi' !!We SteveD, hako kaharufu labda wewe ulikuwa unakula mayai vinza.
Huyo sio kuku wa kienyeji. Kuku wa kienyeji lazima awe amenyonyoka na hajanona namna hiyo, labda awe anakula mtama for breakfast. Cheki kuku anadonyoa donyoa barabarani. Aisee Bata sijaona sainsbury, ila wanauza maini ya kuku.
...nini kumkimbiza, mimi bado nina ndoto mbaya baada ya kutolewa baruti na jogoo kama huyu hapa chini:Juzi niko uswahilini nanunua chairfire si nikaona maza anapewa nyama ya njiwa. Nikauliza hivi wapo? wakasema spesho oda. Wazungu sijui wakajua mi natoka kijijini, wakaniambia kuna Quail...sasa si ni Kwale hao? Mwanawane ulimi ulilainika. Ila stoki ikawa imeisha, sasa inabidi nipige oda. Walinikumbusha enzi zileee, unamkimbiza kwale mpaka anachoka.
..... Nzoka, naomba unipatie konneksheni huko ng'wanone, ninampango wa kuanza ku ekspoti michembe na matobolwa huko kwenu ughaibuni, can you help pls?!! πSteveD, Wanaigeria wanaleta mihogo, sato wanapatikana, maharage na makande yapo, hadi mafanta yasiyo na kipimo cha sukari. Natoshokaga ngosha.
.... El Nino bana, yote hayo yalisababishwa na el nino, mavuno mwaka huo hayakuwa mazuri, majaruba yote yalifulika na mchele tulio uza mwaka huo hivyo haukuwa mwingi. si unajua tena, maandalizi mengi ya ngoma zetu hufana kutegemea na mauzo. Ila maleba (costumes) hamtuwezi, mwaka kesho tunampango wa kuomba kibali kutoka kwa meya wenu Ken Livingston ili tupate visa ya group letu kuweza kuja shiriki Nottinghill carnival huko mliko... je, unaushauri gani ndugu, nasikia bunduki huko nje nje?!!Ila nimemiss siku ile kijiji chetu kiliwapiga bao katika kucheza ngoma za bulabo. labda mwaka huu mtashinda. Ila mlipendeza na hizo pamba za yellow yellow.
......aaah, mimi nilifikiri hiyo ndiyo bomba, yaani unakula kuku na yai kwa wakati mmoja!! lol πShy, hao jamaa wanaoleta mayai ya kienyeji, yamewekewa mhuri wa tarehe? Maana unaweza kufungua kayai ukakutana na tunyoanyoa.
.....Nzoka, je unawajua jina lake hao?... wanaitwa 'kuchi' !!
Wanapigana hao, yaani usipoangalia wanaweza kuwa na ugonvi na kuku wa jirani wiki nzima, au hadi mmojawao mauti imkute!
SteveD
`Kuchi` neno tata baba, usilitoe kihivyo

Mama, naomba unielezee... neno kuchi lina maana gani iliyo batili. (kama ni too sensitive naomba uniwekee kwenye PM au liweke kwenye jukwaa la lugha) Ahsante.